Uhondo

Wasanii wa kaunti ya Kilifi wadai hawatambuliwi

Wasanii mbali mbali kutoka kaunti ya Kilifi sasa wanaomba viongozi waliochaguliwa hivi majuzi kuwatambua na kuhakikisha kuwa wanapewa nafasi ya kuinua vipaji vyao.

Read more