February 22, 2018

KENHA yabomoa vibanda Kengeleni

Wafanyibiashara wa eneo la Lights nje ya soko la Kongowea kaunti ya Mombasa wamekadiria hasara kubwa baada ya vibanda vyao kubomolewa na maafisa Halmashari ya Barabara nchini KENHA mapema leo.

Read more
 • KENHA yabomoa vibanda Kengeleni

  Wafanyibiashara wa eneo la Lights nje ya soko la Kongowea kaunti ya Mombasa wamekadiria hasara kubwa baada ya vibanda vyao kubomolewa na maafisa Halmashari ya Barabara nchini KENHA mapema leo.

  Read more
 • Viongozi waapa kuiwekea vikwazo LAPSET

  Mradi wa Bandari ya pili ya Lamu al-maarufu LAPSSET umekumbwa na utata baada ya viongozi katika Kaunti ya Lamu kuapa kuuwekea vikwazo.

  Read more
 • February 19, 2018

  Chanzo cha kudorora kwa kiwango cha elimu chajulikana

  Mwandishi wa Vitabu Clara Momanyi amesema kuwa matumizi ya simu miongoni mwa wanafunzi ndio chanzo kikuu cha kudorora kwa viwango vya elimu katika kaunti ya Taita Taveta.

  Read more
 • February 17, 2018

  Mivutano ya kisiasa pingamizi kwa maendeleo

  Mchanganuzi wa masuala ya kijamii kutoka shirika la ‘maji na ufanisi’ Jeremia Kiwoi amesema kuwa malengo ya ugatuzi yamekosa kuafikiwa humu nchini kutokana na mivutano ya kisiasa inayoshuhudiwa.

  Read more
 • February 16, 2018

  Ukosefu wa usalama wazoretesha biashara Kisauni

  Mbunge wa Kisauni Ali Mbogo amedai kuwa wafanyibiashara wa biashara ndogo ndogo wameshindwa kuendeleza biashara zao katika eneo bunge hilo kutokana na ukosefu wa usalama.

  Read more
 • Sanaa inatumiwa kupitisha jumbe za itikadi kali asema Mutua

  Bodi ya filamu nchini imefichua kuwa sasa maswala ya itikadi kali, uhalifu na maswala ya ngono yanapitishwa kwa urahisi katika jamii kupitia sekta ya burudani humu nchini.

  Read more
 • February 13, 2018

  Wanakandarasi watishia kuishtaki serikali ya kaunti ya Kilifi

  Wanakandarasi katika kaunti ya Kilifi wametishia kuishtaki serikali ya kaunti hiyo kwa kuchelewesha malipo yao.

  Read more
 • Wauzaji mnazi wapewa Ksh 100,000 Malindi

  Wafanyibiashara wa pombe ya mnazi eneo la Kwabaya mjini Malindi ambao vibanda vyao vilibomolewa juma lililopita wamepata afueni baada ya Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa kuwakabidhi shilingi laki moja ili kuendeleza biashara zao.

  Read more
 • Wahudumu wa Tuk Tuk kuapata mafunzo Mombasa

  Wahudumu wa Tuk tuk kaunti ya Mombasa sasa watapata mafunzo maalum ya kuendesha tuk tuk baada ya chama cha wahudmu hao kuzindua shule maalum itakayotoa mafunzo ya uendeshaji wa Tuk tuk.

  Read more