December 13, 2017

CANCO yailaumu serikali kwa kuendeleza uharibifu baharini

Read more
 • CANCO yailaumu serikali kwa kuendeleza uharibifu baharini

  Mkurugenzi wa shirika linaloshughulikia mazingira ya baharini CANCO Becha Hadley ameilaumu serikali kuu kwa madai kwamba haijali mazingira ya baharini.

  Read more
 • Mikakati ya kuwafadhili wanafunzi waliopata alama 350 na zaidi yaanzishwa Kwale

  Mikakati ya kuwafadhili kimasomo wanafunzi 3051 waliopata alama 350 na zaidi katika mtihani wa kitaifa wa darasa la nane mwaka huu imeanza katika kaunti ya Kwale.

  Read more
 • Mzozo wa mipaka Ganze wachukua mkondo mpya

  Baraza la wazee wa jamii ya Wakauma huko Ganze kaunti ya Kilifi limeshikilia kwamba halitokubali mipaka ambayo imekua ikizozaniwa kwa mda mrefu kati yao na jamii zengine katika maeneo ya Ngamani na Vyambani kufanyiwa mageuzi.

  Read more
 • Wazee wa kijiji waitaka serikali kuwatambua

  Wazee wa vijiji mbali mbali eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale wameitaka serikali ya kitaifa kuwatambua kwa kuwatengea fedha za kila mwezi ili wajikimu kimaisha.

  Read more
 • Wazazi wasiozingatia elimu kuchukuliwa hatua Kilifi

  Kamati ya usalama katika kaunti ya Kilifi imeapa kuwachukulia hatua kali wazazi wasiozingatia elimu ya watoto wao.

  Read more
 • December 12, 2017

  Visa vya watu kupotea na kuuwawa kiholela vyaongezeka Pwani –Haki Afrika

  Mombasa, Kenya, Disemba 12  – Mkurugenzi mkuu wa shirika la kutetea haki za kibinadamu nchini Haki Afrika Khalid Hussein amesema kuwa visa vya watu kuuwawa na kupotezwa kiholela katika ukanda wa pwani vimeongezeka.

  Read more
 • MSETO WA JAMHURI: IDADI NDOGO YA WANANCHI YAJITOKEZA HUKU VIONGOZI WAKISUSIA SHEREHE ZA JAMHURI

  Viongozi wa kisiasa waliochaguliwa kwa tiketi ya chama pinzani hapa Pwani  wamesusia sherehe za kuadimisha siku ya Jamhuri huku idadi ndogo ya wananchi wakihudhuria sherehe hizo za 54 tangu Kenya ijipatie Uhuru.

  Read more
 • Samboja awarai wazazi kujiandaa vyema kwa ajili ya mhula ujao

  Gavana wa kaunti ya Taita Taveta Granton Samboja amewahimiza wazazi katika kaunti hiyo kujiandaa vyema kwa muhula ujao wa masomo.

  Read more
 • Wanafunzi 2,000 kupokea mafunzo ya kutengeneza sodo

  Shirika moja linaloangazia maslahi ya mtoto wa kike la ‘I choose life- Africa’ limeanzisha masomo kwa wazazi ya jinsi ya kutengeneza sodo zilizo na gharama ya chini.

  Read more