Harambee Stars yaimarika katika viwango vya FIFA

May 17, 2018

BANDARI

Picha/Maktaba

Timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars imepanda nafasi mbili katika viwango vya FIFA.

Stars amabao bado hawajashiriki katikamechi yoyote ya kimataifa mwezi uliopita imeratibiwa ya 111 kutoka nafasi ya 113.

Haya yanajiri huku Kenya ikijiandaa kwa jili ya mechi za kirafiki dhidi ya Swaziland na Equitorial Guinea mwezi ujao.

Mechi hizi ni katika matayarisho ya kujiandaa dhidi ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la mataifa ya Afrika AFCON mwezi Septemba.

Taarifa na Dominick Mwambui.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.