Je ni nani atafanya kipindi kifua wazi kati ya Dominick na Kalambua?

May 19, 2018

Mtangazaji wa michezo katika kituo cha Radio Kaya Dominick Mwambui na mchekeshaj Kura Tsuma maarufu kama  Kalambua wameekeana ahadi ya kufanya kipindi bila shati endapo timu wanazoshabikia zitashinda fainali ya EUFA Chamions.

Katika ahadi hiyo Kalambua anayeshabikia Liverpool atahitajika kuingia katika kipindi cha #VoroniEnehu bila shati endapo timu yake itashindwa.

Mwambui ambaye pia ni mwendeshaji kipindi cha Misakato ya Bango atasalia kifua wazi endapo Liverpool itashinda.

Timu hizo mbili zinakutana usiku wa Jumamosi tarehe 26 mwezi huu.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.