Kaa La Moto awasha moto

November 28, 2017

Msanii Kaa La Moto ametweka vichwa vya habari kwa mara nyingine tena.

Msanii huyo anayefahamika kwa mistari iliyo na uzito, amengusha kibao kinachozungumzia kwa kina matatizo yanayokumba tasnia ya mziki humu nchini.

Miongoni mwa mambo mazito aliyoyazungumzia ni kuhusu kutengwa kwa wasanii kutoka Mombasa na makampuni makubwa humu nchini, vilevile amelizungumzia swala la “Masponsor” ambapo anasema kuwa wasanii wa kike wanaotamba kwa sasa wanasaidiwa na “Masponsor”

Meza ya Uhondo ili taka kujua maana halisi ya wimbo huu na tulizungumza naye hapa.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.