Baadhi ya viongozi katika ukanda wa Pwani wameapa kujikakamua zaidi kisiasa ili kupigania nyadhifa za juu za uongozi nchini.
Akiongea mjini Mombasa mbunge wa Rabai William Kamoti amesema kuwa wakati wa kuchezewa kisiasa umekishwa akisema kwamba kama viongozi wa pwani hawatakubali kunyanyaswa kisiasa.
Kamoti amesema kuwa hali hii imechangia ukanda wa Pwani kusalia nyuma kimaendeleo.
Taarifa na Hussein Mdune.