Kelechi Africana aachilia wataisoma Namba

October 18, 2018

KELECHI AFRICANA

Msanii Kelechi Africana amevunja kimya chake kwa kuachilia kibao kipywa kwa jina Wataisoma Namba.


Nyimbo hiyo yenye mdundo wa kiafrika imefanywa ndani ya Kubwa Studio huku video ikiwa chini ya mkono wa Ricky Bekko.
Itizame kwenye link hii

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.