April 17, 2018

Seneta ataka afya ya mama na mtoto kupewa kipao mbele

Ni sharti sekta ya afya ipewe kipau mbele katika Kaunti ya Mombasa ili kuwawezesha akina mama waja wazito kujifungua katika mazingira bora na salama.

Read more
 • April 20, 2018

  Serikali yahimizwa kutatua utata wa ardhi Weru Ranch

  Serikali kupitia wizara ya ardhi humu nchini imeombwa kutembelea na kutatua matatizo ya ardhi yanayo kumba wakaazi wa Lango Baya kaunti ndogo ya Malindi.

  Read more
 • April 17, 2018

  Seneta ataka afya ya mama na mtoto kupewa kipao mbele

  Ni sharti sekta ya afya ipewe kipau mbele katika Kaunti ya Mombasa ili kuwawezesha akina mama waja wazito kujifungua katika mazingira bora na salama.

  Read more
 • Akimbia nyumbani baada ya kupoteza Elfu 20 kwenye kamari

  Kijana Awadh Omar Faraj aliyetoweka katika hali tata siku 10 zilizopita nyumbani kwao huko Ganjoni Kaunti ya Mombasa amepatikana akiwa salama katika ufukwe wa Bahari wa Diani Kaunti ya Kwale.

  Read more
 • April 16, 2018

  Radio Kaya yaanzisha kampeni ya kupanda miti

  Katika juhudi za kuhifadhi mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, Radio Kaya imeanzisha kampeni ya upandaji miti.

  Read more
 • Makamishna watatu wa IEBC wajiuzulu

  Picha/Maktaba Naibu mwenyekiti wa IEBC Consolata Nkatha Maina, Margaret Mwachanya na Paul Kurgat wametangaza kujiuzulu kwao wakitaja kutoridhishwa na uongozi wa Mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati.

  Read more
 • April 15, 2018

  Mabunge ya kaunti kupewa nguvu zaidi asema Spika

  Spika wa bunge la Seneti, Ken Lusaka amesema kuwa serikali za kaunti kote nchini zitapewa nguvu zaidi ili kuimarisha mfumo wa ugatuzi.

  Read more
 • April 13, 2018

  Serikali kushtakiwa kwa kufurusha watu kwenye ardhi zao

  Shirika linaloangazia maswala ya ardhi nchini la ‘Residents Land Protection Organization of Kenya’ RLPOK, sasa linadai litaelekea Mahakamani kuzishtaki idara mbalimbali za Serikali zinazohusishwa na unyanyasa wa mwananchi na kumfurusha kwenye ardhi yake.

  Read more
 • Apotea katika hali ya kutatanisha Mombasa

  Familia moja eneo la Ganjoni kaunti ya Mombasa inaitaka idara ya usalama kuidhinisha uchunguzi wa kina ili kubaini kule aliko mwana wao aliyetoweka nyumbani katika njia ya kutatanisha yapata siku 7 sasa.

  Read more
 • April 10, 2018

  Polisi kukabiliana na makundi haramu Mombasa

  Kamishna wa kaunti ya Mombasa Evans Achoki amesema idara ya usalama ya kaunti hiyo itakabiliana kikamilifu na magenge ya wahalifu yanayowahangaisha wakaazi wa hiyo.

  Read more