Matokeo ya mechi za wikendi KPL

April 30, 2018

BANDARI 05 02 18

Klabu ya Bandari imechomoza na ushindi wa 2-1 dhidi ya Nakumatt.

Bandari imepata mabao yake kupitia Hassan Abdalla aliyecheka na wavu mara mbili.

Na ushindi huu Bandari wanashikilia nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu nchini. Nambari mbili ni Mathare United huku kileleni wakiwa ni Gor Mahia.

Katika matokeo ya mechi zingine;

Thika United 0-3 Nzoia Sugar FC

Tusker 3-2 Sony Sugar FC

Sofapaka 0-1 Wazito FC

Posta Rangers 0-0 Kariobangi Sharks

Ulinzi Stars 2-0 Chemelil Sugar FC

Mathare United 2-2 Gor Mahia FC

 

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.