Msanii Otile Brown amesistiza kuwa mziki unalipa.

January 6, 2019

Msanii Otile Brown amesistiza kuwa mziki unalipa.


Kupitia akaunti yake ya instagram, Otile Brown ame post picha akiwa na gari aina ya Mercedes jipya alilojinunulia na kuambatanisha na ujumbe wa kusistiza kuwa mziki unalipa.

Gari hilo ni aina ya AMG E63na ni la pili kwani Otile Brown alijinunulia la kwanza mwezi Novemba mwaka jana.
Haa hivyo Otile Brown ameweka wazi kuwa mziki unaolipa ni mziki mzuri na kuwataka wasanii kumakinika katika kazi zao wanazotoa.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.