Nakumatt na Ushuru kukabana koo

October 18, 2018

FKF-logo

Mechi kati ya Nakumatt na Ushuru imehairishwa hadi siku ya ijumaa, katika uga wa Camp Toyoyo kuanzia saa tisa mchana.

Mechi ya marudiano itakuwa siku ya jumapili Oktoba 28, Kasarani kuanzia 3 pm.

Mshindi wa mechi hiyo atajiunga na Western Stima na KCB kuingia katika ligi kuu nchini KPL.

 

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.