April 20, 2018

Serikali za kaunti zahimizwa kutenga fedha za kupambana na Malaria

Mtaalam wa masuala ya maradhi ya Malaria kutoka  Shirika la kupambana na maradhi ya malaria la Malaria No More Zeba Siaanoi amezihimiza serikali za kaunti kutenga fedha maalum kupambana na maradhi ya malaria.

Read more
 • Serikali za kaunti zahimizwa kutenga fedha za kupambana na Malaria

  Mtaalam wa masuala ya maradhi ya Malaria kutoka  Shirika la kupambana na maradhi ya malaria la Malaria No More Zeba Siaanoi amezihimiza serikali za kaunti kutenga fedha maalum kupambana na maradhi ya malaria.

  Read more
 • Serikali yahimizwa kutatua utata wa ardhi Weru Ranch

  Serikali kupitia wizara ya ardhi humu nchini imeombwa kutembelea na kutatua matatizo ya ardhi yanayo kumba wakaazi wa Lango Baya kaunti ndogo ya Malindi.

  Read more
 • Wanasiasa wahimizwa kuzingatia maendeleo

  Seneta mteule kutoka kaunti ya Kilifi Christine Zawadi amewashauri viongozi wa kisiasa kuweka kando tofauti zao za kisiasa na badala yake washirikiane kwa lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi.

  Read more
 • RBA yaendeleza hamasa Pwani

  Halmashauri ya hazina ya uzeeni yaani Retirement Benefit Authority (RBA) imeendeleza hamasa zake za kuwarai wananchi kujiunga na mpango huo ili kuboresha maisha yao ya uzeeni katika eneo la Mtwapa hii leo.

  Read more
 • April 19, 2018

  Hatimiliki kutumiwa kupeana mikopo Taita Taveta

  Jamii inayoishi katika shamba la Sangenyi/Mwararu settlement scheme wadi ya Werugha eneo bunge la Wundanyi itaanza kupata mikopo kupitia udhamini wa vyeti vya kumiliki ardhi baada ya serikali ya kaunti kupeana zaidi ya hati 700 za kumiliki ardhi.

  Read more
 • April 18, 2018

  Viongozi Mombasa waitaka serikali kushughulikia IEBC

  Viongozi wa dini ya kikristo katika kaunti ya Mombasa wameitaka serikali kuu kuingilia kati mgogoro unaoikumba tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC.

  Read more
 • Ukosefu wa ajira miongoni mwa wamakonde wazua changamoto

  Mwenyekiti wa Jamii ya Wamakonde Thomas Nguli amesema ukosefu wa ajira miongoni wa vijana katika jamii hiyo imekuwa changamoto kubwa.

  Read more
 • Mbunge awaonya polisi wanaowahangaisha wachuuzi wa pombe ya Mnazi

  Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa amewaonya maafisa wa polisi wanaoshika doria nyakati za usiku eneo hilo kukoma kuwahangaisha wanawake wanaofanya biashara ya kuuza pombe ya Mnazi.

  Read more
 • April 17, 2018

  IEBC yasema iko tayari kwa uchaguzi mdogo wa Kinondo

  Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini IEBC imesema iko tayari kuendesha uchaguzi mdogo wa Wadi ya Kinondo kaunti ya Kwale hapo kesho.

  Read more