Ningependa kufanyanya kazi na Sunday Ngala – kiongozi wa Utamaduni

July 5, 2018

James Ngala mmoja wa wanachama wa kundi la Utamaduni Band amefichua kuwa angependa kufanya kazi binafsi na wasanii wawili tu wa mziki wa Bango kwa sasa.

Akizungumza na Uhondo James amefichua kuwa anahamu kubwa ya kufanya mziki na Jimmy Ngala kwa kuwa ana uzoefu mkubwa na ana ubunifu wa hali ya juu.

Kando na Jimmy Ngala msanii huyo amemsifia Sunday Ngala ambaye anafanya vyema na kibao Sioi Leo na Nimpendae.

Licha ya majina ya pili ya wasanii hawa kufanana hawana uhusiano wowote kidamu.

Taarifa na Dominick Mwambui.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.