Orem aisaidia Modern Coast Rangers

May 14, 2018

Modern Coast Ranger FC players praying after a match. Picture by Tsuma Wa Tsuma.

David Orem ameisaidia klabu yake Modern Coast Rangers kuibuka na ushindi dhidi ya Bidco nyumbani.

Orem alifunga mabao mawili kwenye mechi hiyo iliyosakatwa katika uga wa Mbaraki.

Alicheka na wavu katika dakika ya 20 na 24.

Kwa sasa Modern Coast Rangers ipo katika nafasi ya 6 ikiwa na pointi 27 baada ya mechi 16.

 WPL

Kwenye mechi za ligi kuu ya wanawake WPL.

Spedag 3-1 Wadadia

Mombasa Olympic 1-6 Vihiga Queens

Kisumu All Starlets 1-7 Thika Queens

Eldoret Falcons 1-0 Oserian Ladies

Baringo Starlets 1-4 Vihiga Leeds

Taarifa na Dominick Mwambui.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.