Picha: Jinsi mambo yalivyokuwa Ukunda show ground

June 24, 2018

Jumamosi ya tarehe 23 Juni Radio Kaya kw aushirikiano, shirika la Samba Sports Youth Agenda na mashirika mengine iliandaa makala ya tano ya soka kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 12.

Miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo ni wasanii wa kizazi kipya. Wasanii hao ni Dogo Richy, Chikuzee, Shephard, ABK na Samrt Manjonjo.

Tizama picha ya jinsi mambo yalivyokuwa haa chini.

DOGO RICHIE

Msanii Dogo Richy.

CHIKUZEE

Msanii Chikuzee.

SHEPHARD

Msanii Shephard.

CHIKUZEE (2)

Chikuzee akitumbuiza.

DODO RICHY

Dogo Richy

SHEPHERD

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.