Picha: Mtoto wa Nyota Ndogo aingia kidato cha Kwanza

January 11, 2018

Ni furaha ya kila mama kumwona mwanawe akikuwa na kuwa mtu mzima.

Hali hii ndiyo iliyodhihirishwa na msanii Nyota Ndogo pale mwanawe wa kwaza alipojiunga rasmi na shule ya upili.

Kupitia kwa mtandao wa kijamii Nyota alitangaza rasmi kuwa mwanawe amejiunga na shule ya upili kwa kupachika picha za mwanawe akiwa amevalia sare rasmi.

Tizama picha hiyo hapa chini.

Nyota Ndogo na mwanawe wa kiume muda mfupi kabla ya kuelekea shule.

Nyota Ndogo na mwanawe wa kiume muda mfupi kabla ya kuelekea shule.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.