Picha: Shemakinz afunga ndoa

July 12, 2018

Msanii Shephard Shemakinz ameasi ukapera.

Kulingana na jumbe alizopachika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii msanii huyo alifunga ndoa wikendi iliyopita nchini Tanzania.

“Dalili ya mvua mawingu haya sema nimewalipiza wa bongo #mwambar……..baki kusema ni kiki,” aliandika msanii huyo huku akiambatanisha na picha ya yeye na mkewe wakiwa wameshikilia cheti cha ndoa.

SHEPHARD

 

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.