Picha: Sherehe ya kuzaliwa kwa CML

January 6, 2018

Msanii Catherine Mtunga maarufu kama CML alisheherekea siku yake ya mazazi siku ya Ijumaa tarehe 5 Januari.

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na waalikwa pekee na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika hafla hiyo ya kipekee.

CML BIRTHDAY 05 01 18 (8)

Cml na msanii Ngunash.

CML

CML

CML akikata keki.

CML akikata keki.

 

CML amlisha keki msanii Grace Mueni maarufu kama Ngunash.

CML amlisha keki msanii Grace Mueni maarufu kama Ngunash.

CML na Ability

CML na Ability

 

CML na Ability.

CML na Ability.

 

Kutoka kwa timu nzima ya Uhondo tunamtakia CML kila la kheri maishan. Happy Birthday!

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.