Produza Baindo atoa ushahidi kuwa Ann sio mwanamke mzuri

January 10, 2019

Baada ya kuweka wazi kuwa ameachana kabisa na msanii Anne Samba Chiponda maarufu shiney, sasa produza Baindo ametoa ushahidi unaotoa taswira kamili ya ni kwa nini aliamua kusema mapenzi na Anne ni basi.

Baindo ameachilia picha ambapo anadai kuwa Anne alimshambulia kwa chupa na kumpa jeraha kwenye sehemu yake ya juu ya jicho la kulia.

Produza Baindo

Produza Baindo.

Vilevile amedai kuwa Anne amekuwa akimshambulia mara wa mara na vifaa butu nyumbani.

Amesema wakati mmoja alimshambulia kwa mwiko wa kupikia ugali baa da ya ugomvi kuzuka nyumbani.

Produza Baindo

Produza Baindo.

Taarifa na Dominick Mwambui.

 

 

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.