Radio Kaya yatuza malenga Bora

May 7, 2018

Katika juhudi za kukuza na kuendeleza talanta Radio Kaya imewatuza malenga bora mwaka 2017.
Hafla hiyo iliwaleta pamoja zaidi ya malenga 42.


Tuzo hizo zilikuwa ka ifuatavyo;

Mghani bora  2017- Mohamed Swaleh
Mtunzi bora 2017 – Ali Mwandiani
Uelimisho bora 2017 – Jeza Saidi

Malenga Chipukizi bora 2018 – John Safisita
Malenga aliyejitolea bora – Hassan Mafuriko

Mpigaji simu bora  2010-2018 – Ndugu Muadilifu

Mashairi ya Kidigo bora-  Abdhull Kuchengwa
Idadi ya Mashairi bora  – Madindima s Madindima
Shabiki sugu –  Makal Dena and Idah Gwambo

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.