Reresheni lakini lazima vijana wabadilike -Gavana Kingi

January 4, 2018

Gavana wa kaunti ya Kilifi amewatahadharisha vijana dhidi ya mienendo inayoweza kuwaweka pabaya.

Akihutubia mamia ya vijana katika tamasha lilokuwa na kauli mbiu “Youths Must Change” Kingi amesema kuwa ni sawa kwa vijana kujipa burudani lakini ni sharti wawemakini.

“Tuache madrugs tubadilike tuwe wasafi, tutareresha ikiwa ni party tutapiga lakini baada ya haya yote vijana ni lazima wabadilike. Mambo ya madrugs tuyasare”alisema Gavana Kingi.

Kingi alikuwa ameambatana na Gavana wa Mombasa katika tamasha hilo lilowaleta pamoja wasanii wa Pwani.

Taarifa na Dominick Mwambui.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.