“Sishuki kwa kitanda, ” Ruth Mbashu amwambia Susumila

February 8, 2019

Msanii Yusuf Kombe maarufu kama Susumila amemwandikia Baby mama wake Ruth Mbashu ujumbe mzito anaposheherekea siku yake ya mazazi.

Wawili hao waliajaliwa kupata watoto wawili walipokuwa katika ndoa.

Katika ujumbe aliopachika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, Susumila amesema kuwa anatafuta boozer ya maji ili amwoshe. Hali inayonyesha kuwa mambo sio mabaya kati yao na tamasha ya siku ya mazazi itakuwa kubwa mno.

HAPPY BIRTHDAY Ruth Mbashu mamake Hamisi.. Mamake Hidaya.. Mamake Halima.. Mke wangu wa ujanani Mungu akuweke unilelee wanangu natafuta ile migari ya maji tuje tukuoshe 😂😂😂

Kwa utani Ruth amemjibu Susumila na kusema:

We are a team @Officialsusumila…n just so yu know sishuki kwa kitanda leo.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.