September 20, 2018

Harambee Stars yapanda nafasi tano

Timu ya taifa ya soka ya wanaume Harambee Stars imepanda nafasi tano katika viwango vya soka kulingana na FIFA.

Read more
 • Harambee Stars yapanda nafasi tano

  Timu ya taifa ya soka ya wanaume Harambee Stars imepanda nafasi tano katika viwango vya soka kulingana na FIFA.

  Read more
 • September 4, 2018

  Bilioni 1.2 kutumiwa kujenga uwanja Mombasa

  Shilingi bilioni 1.2 zimetengwa kwa ajili yakuujenga upya uwanja wa kaunti ya Mombasa.

  Read more
 • Tuzo za SOYA kufanyika Mombasa

  Kwa mara ya kwanza katika historia  tuzo za wanaspoti bora nchini  soya zitaandaliwa nje ya jiji la Nairobi.

  Read more
 • Migne afanya mzoezi ya kwanza na Stars

  Mkufunzi wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars Sebastien Migne amefanya mzoezi ya kwanza na kikosi cha wachezaji 21 katika maandalizi ya mechi dhidi ya Ghana iliyoratibiwa kuchezwa Jumamosi hii.

  Read more
 • August 31, 2018

  Kenya kutetea ubingwa wake wa Tong – Ilmoo- doo

  Mwenyekiti wa shirikisho la mchezo wa Tong-ILmoo-doo nchini Clarence Mwakio ameeleza imani yake kuwa timu ya taifa ya mchezo huo itahifadhi ubingwa wake kwenye makala ya sita ya Mombasa open Tong-Ilmoo-Doo International Championship yaliyoratibiwa kuanza rasmi tarehe nane mwezi ujao wa Septemba mjini Mombasa.

  Read more
 • August 26, 2018

  Ratiba ya NSL

  Huku msimu ukikaribia kutamatika, kuna mechi 10 zilizosalia kuchezwa katika ligi hiyo.

  Read more
 • August 20, 2018

  Vanga United waibuka mabingwa

  Timu ya Vanga United kutoka LungaLunga ndiyo mshindi wa mashindano ya Mama Kwale County Tournament iliyofikia  katika uga wa shule ya upili ya Mwereni eneo bunge la Lungalunga baada ya kuichapa Lions FC kutoka Kinango bao 1-0 katika mikwaju ya penanti roundi ya pili.

  Read more
 • August 19, 2018

  Daniel Kiptum ashinda Safaricom Deaf Marathon

  Mwanariadha Daniel Kiptum kutoka kaunti ya Nandi alimpiku bingwa mtetezi wa mbio za 21km kwa wanaume Peter Rotich na kutwaa medali ya dhahabu kwenye makala ya tano ya mbio za Safaricom Deaf Marathon zilizoandaliwa hapo jana jumapili katika kaunti ya Mombasa.

  Read more
 • August 12, 2018

  Coast Stima yapata sare tasa dhidi ya Isibania

  Coast Stima imetoka sare tasa dhidi ya Isibania kwenye mechi ya ligi ya NSL.

  Read more