SS ASSAD kukutana na Gor Mahia

May 21, 2018

Klabu ya SS Assad kutoka ukunda itakutana na Gor Mahia kwenye mechi za mzunguko wa kwanza za Sport Pesa Shield mwaka huu.


Akizindua mchuano huo ambao utaanza rasmi Juni 1 mwaka huu, Rais wa Shirikisho la soka nchini (FKF) Nick Mwendwa ameishukuru Sportpesa kwa kudhamini mchuano huo.
Sport Pesa itakuwa mdhamini kwa muda miaka mitatu.
Mshindi wa mchuano huo atapokea milioni 2. Mshindi wa pili atapata milioni 1, mshindi wa tatu akipata 750,000 na wanne akipata 500,000.
Mshindi wa mchuano huo ataiwakilisha Kenya katika mchuano wa kombe la CAF msimu ujao.

Draw kamili 

Fortune Sacco vs Mwatate United
Nunguni Yulu vs Ushuru
Berlin vs Bandari FC
Taita Taveta All Stars vs Tusker
Emmausians vs Leysa
Nanyuki All Stars vs KCB
Re-Union vs Sofapaka
Friend Zone vs Naivas
Babadogo United vs Equity Bank
Tandaza vs Zetech University
SS Assad vs Gor Mahia
Ken Poly vs Savannah Cement
Nanyuki Youth vs Kariobangi Sharks
Nairobi Water vs Wazito FC
Ligi Ndogo vs Talanta

Balaji vs Modern Coast Rangers

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.