VIDEO: Dogo Aslay akonga nyoyo za mashabiki Diani

January 1, 2018

Msimu wa sherehe unapokaribia kutamatika mashabiki wa Dogo Aslay wanakila sababu ya kufurahia.

Msanii huyo alizuru eneo la Diani hivi majuzi na kuikonga mioyo ya mashabiki wake.

Wimbo baada ya wimbo Aslay aliwapa burudani la haiba ya juu mashabiki ambao wamesalia wakisifia tamasha hilo.

Tizama jinsi mambo yalivyokuwa hapa chini.

 

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.