“Wacha kunyamaza tupe kazi,” Amz amshauri Chikuzee

December 5, 2017

Tunapoingia msimu wa Krisimasi wanamuziki wengi wamevunja kimya chao kwa kuwachilia kazi mpya.

Miongoni mwa wasanaii hawa ni Chikuzee aliyeachilia kazi aliyomshirikisha Stamina kutoka Tanzania kwa jina Usiondoke.

Licha ya kazi hiyo kupokelewa vyema hisia mseto zimeibuka kuhusu utenda kazi wa msanii huyo.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook Producer Amz amemtaka Chikuzee aache kusalia kimya na aachilie kazi mara kwa mara.

[Pilipili usiyo ila yakuwashiani]

Kulingana na mtayarishaji huyo wa mziki Chikuzee ananafasi nzuri ya kulitawala soko la mziki loakini kimya cheke ndio sababu inayomfanya asiwe na nguvu.

Taarifa na Dominick Mwambui.

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.