Waizi wa mtandao wamfikia aliyekuwa Mbunge wa Taita Taveta

January 3, 2018

Aliyekuwa Mbunge wa Taita Taveta Joyce Lay ni mtu wa punde zaidi kukwangurwa na kucha za waporaji mtandaoni.


Kulingana na kiongozi huyo watu wasiojulikan awamekuwa wakituma jumbe za kuomba pesa wakitumia jina lake.
Kupitia kwa kurasa zake za mitandao ya kijamii Bi Lay amewatahadharisha marafiki zake na watu wanaomjua wawe makini na waporaji wa mtandaoni huku akisema kuwa tayari alikuwa amaewapasha habari maofisaa wa polisi kufuatilia waporaji hao.

“It has come to my attention that conmen and Women are sending text messages from fake numbers to the public and especially to the members of Parliament using my name and asking them for money pls if you receive such a message and you happen to know my true number kindly confirm with me first before you fall into their trap!. The matter is being investigated and I pray that they all get arrested soon and face the law!”

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.