Wasanii waomboleza kifo cha Benso

May 20, 2018

Biwi la simanzi limetanda ukanda wa Pwani baada ya msanii Benso aliyekuwa kimiliki label ya Brainchild Music Group BCMG kuaga dunia.
Msanii huyo ameaga hii leo baada kuugua kwa muuda mfupi.

Wasanii wengi kutoka ukanda wa pwani wamezidi kutuma risala za rambirambi kwa msanii huyo aliyetuacha ghafla.

Vizuri havikai sijaaamini bado.. R. ï. P niggah BensoBrainchild…. – Dogo Richie

Bruh..I Know You Are In The Right Place Now,,It’s Unfortunate We Were Unable To Meet Coz It Was God’s Plan 😖 R.I.P Benso 🙏 – Kidis the Jembe

Hizi habari acha tu niziache zilivyo..!R.I.P BENSO.. Matukio haya ndio yanatufanya tujuliane uzima na salamu kila wakati.Kama jana tu ukinipigia nije Nyali photoshoot ya promo wa wimbo wako #KaribuMomb… – Kaa La Moto

Dah ama kweli kifo hakichagui Rest in Peace my brotherBenso Ulikuwa Mtu mwenye ndoto kubwa na mwenye Roho yakusaidia sitaacha kukuombea kwa Mungu akulaze mahali pema peponi – Masauti KenyanBoy

Uhondo inatuma risala za rambirambi  kwa familia ya mwenda zake.

Taarifa na Dominick Mwambui.

 

RADIO KAYA 93.1 FM (MSA), 99.7 FM (MLD) NA 94.9 VOI NA VIUNGA VYAKE.