Wazazi kuchukuliwa hatua iwapo watoto wao watadhulumiwa
Onyo kali limetolewa kwa wazazi wa Wadi ya Ziwa la Ng’ombe, Nyali kaunti ya Mombasa kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria endapo watoto wao watapitia dhulma za kimapenzi msimu huu wa likizo.