Mahakama Yaamua NPSC Haina Mamlaka ya Kuajiri Maafisa wa Polisi

Mahakama Yaamua NPSC Haina Mamlaka ya Kuajiri Maafisa wa Polisi Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi imetangaza kwamba Tume ya Kitaifa ya Huduma za Polisi (NPSC) haina mamlaka ya kuajiri maafisa wa polisi, ikiamua kwamba shughuli ya hivi karibuni la kuajiri iliyotangazwa na tume hiyo lilikuwa kinyume cha katiba. Jaji Hellen Wasilwa, katika uamuzi […]
Mpiga Kura Awasilisha Kesi Akitaka Kusitishwa Maandalizi ya Uchaguzi wa 2027

Mpiga Kura Awasilisha Kesi Akitaka Kusitishwa Maandalizi ya Uchaguzi wa 2027 Mpiga kura Benard Mwanzia amewasilisha kesi katika mahakama kuu, akiitaka mahakama kusitisha maandalizi yote ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, yanayoendelezwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC. Katika kesi hiyo Mwanzia ameibua maswali ya kikatiba kuhusu uhalali na uthabiti wa mfumo wa uchaguzi […]