Zamzam Mohamed Akanusha Madai ya Ufujaji wa Fedha za NGAAF Mombasa

Zamzam Mohamed Akanusha Madai ya Ufujaji wa Fedha za NGAAF Mombasa Mwakilishi wa kike kaunti ya Mombasa Bi Zam zam Mohamed, amekanusha madai kwamba ofisi yake imejihusisha na ufujaji wa fedha za hazina ya NGAAF. Katika mahojiano na mwanahabari wetu, Zam zam amesema makundi yaliokosa fedha za hazina hiyo katika awamu ya kwanza ya ugavi […]
ODM Yajizatiti Kuimarisha Umoja na Uthabiti Kabla ya Uchaguzi wa 2027

ODM Yajizatiti Kuimarisha Umoja na Uthabiti Kabla ya Uchaguzi wa 2027 Chama cha ODM kinapaswa kuwa imara hata zaidi na kuendelea kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Seneta wa Kaunti ya Kilifi Stewart Madzayo aliye Kiongozi wa wachache katika Bunge la Seneti amehoji kwamba kwa sasa jambo la msingi chamani ni kujenga udhabiti wa chama […]