Radiokaya

Friday, 13 February, 2026    4:32 pm

Play Listen Live

Kenya yatuma kikosi chake cha tano cha maafisa wa polisi kwenda Haiti

Kenya imetuma kikosi chake cha tano cha maafisa wa polisi kwenda Haiti, ikiimarisha Kikosi cha Kimataifa cha Kukandamiza Magenge (GSF) huku ujumbe huo ukiongeza shughuli dhidi ya mitandao ya wahalifu wenye silaha katika baadhi ya maeneo yenye utata zaidi nchini. Kikosi hicho chenye maafisa 230 kilitua Jumatatu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa haiti, […]

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC imesema mwaka uliopita wa kifedha ilipokea ripoti elfu 4,183 zinazohusiana na ufisadi, idadi ambayo ni ya chini ikilinganishwa na ripoti elfu 5,252 zilizowasilishwa mwaka wa kifedha 2022/2023. Tume ya EACC imesema kati ya ripoti hizo elfu 4,183 zilizowasilishwa, ripoti elfu 1,846 zinazoambatana na majukumu ya tume […]

UDA kumuidhinisha Jimmy Kahindi kuwa mgombea wake wa ugavana kaunti ya Kilifi.

Chama cha UDA kimeweka wazi kwamba kitamuidhinisha aliyekua spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Jimmy Kahindi, kuwa mgombea wake wa ugavana wa kaunti ya Kilifi katika uchaguzi ujao. Chama cha UDA kimeafikia uamuzi huo, baada aliyekua waziri wa jinsia nchini Aisha Jumwa kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha PAA kinachoongozwa na spika wa bunge la seneti […]

Tume ya IEBC imewaonya wanasiasa dhidi ya kunyanyasa maafisa wanaosimamia uchaguzi.

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imewataka wanasiasa kukoma kuwatisha maafisa wa tume hiyo wakati wa uchaguzi. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amesema wameshuhudia tabia ya hatari ambapo wanasiasa wanaojiita mawakala wa wagombea fulani, kuingia kwenye vituo vya kupiga kura na kuvuruga mchakato wa upigaji kura. Akizungumza jijini Nairobi wakati wa kikao cha […]