Kenya pushes large scale irrigation amid driving food insecurity

TANA RIVER, Kenya, Dec, 19, 2025-As drought continues to affect several counties countrywide, the Government is intensifying investment in large-scale irrigation projects to boost food production and strengthen national food security. Agriculture and Livestock Development Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday toured the Galana/Kulalu Irrigation Scheme in Tana River County, where he underscored the importance […]
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limezindua muundo wa zawadi kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya AFCON 2025

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limezindua muundo wa zawadi kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya AFCON 2025, yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni nchini Morocco. Kulingana na uchanganuzi Bingwa atapata Dola za Kimarekani Milioni 7 huku Mshindi wa pili akipata Dola Milioni 4. Waliofuzu nusu fainali ni Dola Milioni 2.5 kila […]
Mkuu wa majeshi Jenerali Charles Kahariri amefanya ziara yake katika kambi ya kijeshi ya Manda Bay, Lamu

Mkuu wa majeshi nchini jenerali Charles Kahariri ametoa hakikisho kwamba idara ya ulinzi KDF imejikitika kuhakikisha utayari wa oparesheni, kuwapa kipaumbele maafisa wa idara hiyo na kuendeleza mikakati ya usalama wa taifa. Jenerali Kahariri ametoa hakikisho hilo wakati wa ziara yake katika kambi ya jeshi la wanamaji ya Manda Bay kaunti ya Lamu, na vile vile amekutana […]
Baraza la mawaziri nchini limeidhinisha sera ya kitaifa kuhusu jamii za wachache, jamii zilizotengwa na wenyeji asili

Baraza la mawaziri nchini limeidhinisha sera ya kitaifa kuhusu jamii za wachache, jamii zilizotengwa na wenyeji asili, na kupitishwa sera hiyo kutahakikisha mageuzi katika mchakato wa uajiri kwenye huduma za umma. Rais William Ruto wakati akitoa tangazo hilo amesema sera hiyo itahakikisha jamii za wachache zinajumuishwa na kuwakilishwa kikamilifu katika taasisi zote za serikali kuambatana […]