May 18, 2017

Idadi ndogo ya vijana yajitokeza kwa zoezi la usajili wa makurutu

Na Lucy Makau Kinango, KENYA, May 18- Idadi ndogo ya vijana imejitokeza  katika zoezi  la kusajiliwa makurutu wa  wanajeshi katika shule ya upili ya wavulana ya Kinango eneo la Kinango.

Read more
 • Idadi ndogo ya vijana yajitokeza kwa zoezi la usajili wa makurutu

  Na Lucy Makau Kinango, KENYA, May 18- Idadi ndogo ya vijana imejitokeza  katika zoezi  la kusajiliwa makurutu wa  wanajeshi katika shule ya upili ya wavulana ya Kinango eneo la Kinango.

  Read more
 • February 6, 2017

  Mji wa Maliindi wakumbwa na uhaba mkubwa wa maji

  Na: Charo Banda Malindi, KENYA, Februari 6 – Kwa siku ya nne mtawalia wakazi wa Malindi kaunti ya Kilifi wanalalamikia ukosefu wa maji safi hali iliyopelekea wakazi hao kutembea kwa mwendo mrefu kutafuta bidhaa hiyo muhimu.

  Read more
 • February 4, 2017

  Bilioni 30 kutumiwa kuboresha usambazaji wa maji Kwale

  Naibu Rais William Ruto amewataka wakazi wa kaunti ya Kwale kuunga mkono serikali ya Jubilee wakati wa uchaguzi mkuu ili iweze kuboresha maendeleo mashinani.

  Read more
 • October 11, 2016

  Chuo cha Agha Khan kuanzisha hamasa kuhusu mtoto wa kike

  Na: Michael Otieno Kwale, Kenya, Oct 11- Kaunti ya Kwale leo imejiunga na mataifa mengine kuadhimisha siku ya kimataifa ya mtoto wa kike ulimwenguni.

  Read more
 • Afrika kusini na Kenya kuondoleana vikwazo vya kibiashara

  Kenya na Afrika Kusini wamekubaliana kuboresha ushirikiano wao kwenye masuala ya biashara na usalama.

  Read more
 • October 6, 2016

  Kenya yamteuwa Amina kuwania wenyekiti wa ‘AU’.

  Rais Uhuru Kenyatta amemteua Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Balozi Amina Mohammed kuwania Wenyekiti wa tume inayosimamia maswala

  Read more
 • August 8, 2016

  Nyota wa Lingala, Defao azuiliwa hotelini, Mombasa.

  Nyota wa muziki wa Lingala kutoka nchi ya Kidemokrasia ya Congo DRC Matumoa Defao Lulendo kwa jina maarufu ‘General Defao’

  Read more
 • Maafisa wa usalama waimarisha doria dhidi ya Al-shabab, Lamu

  Maafisa wa usalama katika Kaunti ya Lamu wameimarisha oparesheni dhidi ya wanamgambo wa Al-shabab

  Read more
 • July 26, 2016

  Mwanamuziki Koffi Olomide atimuliwa nchini Kenya

  Tamasha la muziki lililokuwa litaongozwa na Mwanamuziki wa nyimbo za lingala kutoka nchi ya Kidemokrasia ya Congo-DRC Koffi Olomide Jijini Nairobi limetibuka

  Read more