Radiokaya

Friday, 13 February, 2026    4:36 pm

Play Listen Live

Usajili Wa Askari Polisi 10,000

Usajili Wa Askari Polisi 10,000 Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) inaendesha kampeni kubwa ya kuajiri watu nchini kote katika vituo 427, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu ulioondoa amri ya kusimamisha shughuli hiyo. Uajiri huo, unaolenga askari polisi 10,000, ulianza saa mbili  asubuhi  leo Jumatatu na utaendelea hadi saa kumi na moja  jioni, ukiashiria moja ya mazoezi makubwa zaidi ya kuajiri watu ya […]

Matokeo ya KJSEA na uteuzi kufanyika kabla ya krismasi, yasema wizara ya elimu

Matokeo ya KJSEA na uteuzi kufanyika kabla ya krismasi, yasema wizara ya elimu Katibu Mkuu wa Elimu ya Msingi Julius Bitok amethibitisha kwamba matokeo ya Tathmini ya Kwanza ya Elimu ya Sekondari ya Kenya (KJSEA) kwa wanafunzi wa Darasa la 9 yatatolewa ifikapo Desemba 11, huku Wizara ya Elimu ikikamilisha uteuzi wa Darasa la 10 […]

Ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu kuanza mwezi Januari mwakani

Ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu kuanza mwezi Januari mwakani Rais William Ruto ametangaza kwamba ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu utaanza rasmi mwezi Januari mwakani. Katika hotuba yake rais Ruto amesema mradi wa barabara hiyo itakayoelekea hadi Malaba, ni mradi wa maendeleo uliopiganiwa na aliyekua […]

Zamzam Mohamed Akanusha Madai ya Ufujaji wa Fedha za NGAAF Mombasa

Zamzam Mohamed Akanusha Madai ya Ufujaji wa Fedha za NGAAF Mombasa Mwakilishi wa kike kaunti ya Mombasa Bi Zam zam Mohamed, amekanusha madai kwamba ofisi yake imejihusisha na ufujaji wa fedha za hazina ya NGAAF. Katika mahojiano na mwanahabari wetu, Zam zam amesema makundi yaliokosa fedha za hazina hiyo katika awamu ya kwanza ya ugavi […]

ODM Yajizatiti Kuimarisha Umoja na Uthabiti Kabla ya Uchaguzi wa 2027

ODm

ODM Yajizatiti Kuimarisha Umoja na Uthabiti Kabla ya Uchaguzi wa 2027 Chama cha ODM kinapaswa kuwa imara hata zaidi na kuendelea kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Seneta wa Kaunti ya Kilifi Stewart Madzayo aliye Kiongozi wa wachache katika Bunge la Seneti amehoji kwamba kwa sasa jambo la msingi chamani ni kujenga udhabiti wa chama […]

Mahakama Yaamua NPSC Haina Mamlaka ya Kuajiri Maafisa wa Polisi

National Police

Mahakama Yaamua NPSC Haina Mamlaka ya Kuajiri Maafisa wa Polisi Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi imetangaza kwamba Tume ya Kitaifa ya Huduma za Polisi (NPSC) haina mamlaka ya kuajiri maafisa wa polisi, ikiamua kwamba shughuli ya  hivi karibuni la kuajiri iliyotangazwa  na tume hiyo lilikuwa kinyume cha katiba. Jaji Hellen Wasilwa, katika uamuzi […]

Mpiga Kura Awasilisha Kesi Akitaka Kusitishwa Maandalizi ya Uchaguzi wa 2027

IEBC

Mpiga Kura Awasilisha Kesi Akitaka Kusitishwa Maandalizi ya Uchaguzi wa 2027 Mpiga kura Benard Mwanzia amewasilisha kesi katika mahakama kuu, akiitaka mahakama kusitisha maandalizi yote ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, yanayoendelezwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC. Katika kesi hiyo Mwanzia ameibua maswali ya kikatiba kuhusu uhalali na uthabiti wa mfumo wa uchaguzi […]

How Consistency and Smart Campaigns Can Transform Your Social Pages

How Consistency and Smart Campaigns Can Transform Your Social Pages 1. Define Your Audience and Goals Before running any campaign or posting content: Identify your target audience: Who do you want to reach (age, interests, location, behavior)? Set clear objectives: Are you aiming to increase followers, engagement, leads, or sales? Example: “Increase engagement among young professionals in Nairobi […]