April 10, 2017

KINARA WA WIPER AHIDI KUONGEZA MGAO WA FEDHA NCHINI

Na: Michael Otieno Kwale, KENYA, Aprili 10- Kinara wa chama cha Wiper, Stephen Kalonzo Musyoka ameahidi kuongeza mgao wa fedha wa serikali za kaunti kutoka asilimia 15 hadi asilimia 45  iwapo Muungano wa NASA utakapoingia uongozini.

Read more
 • KINARA WA WIPER AHIDI KUONGEZA MGAO WA FEDHA NCHINI

  Na: Michael Otieno Kwale, KENYA, Aprili 10- Kinara wa chama cha Wiper, Stephen Kalonzo Musyoka ameahidi kuongeza mgao wa fedha wa serikali za kaunti kutoka asilimia 15 hadi asilimia 45  iwapo Muungano wa NASA utakapoingia uongozini.

  Read more
 • April 7, 2017

  Katibu atupilia mbali madai kuwa wamelitenga eneo la Rabai kimaendeleo

  Na: Mercy Tumaini Rabai, KENYA, Aprili 7 – Katibu  katika  wizara ya afya kaunti ya Kilifi Timothy Malingi amepuuza madai kuwa eneo la Jimba kaunti ya Kilifi limetengwa kimaendeleo na serekali hiyo ya kaunti.

  Read more
 • April 5, 2017

  Pesa zilizoporwa kutoka kwa serikali ya kaunti ya Kilifi zarudishwa

  Na: Marieta Anzazi Hatimaye kampuni mbili kati ya sita zilizoshtakiwa kwa wizi wa shilingi milioni 51 fedha za serikali ya kaunti ya Kilifi zimekubali kuregesha shilingi milioni 15 kwa hazina ya kaunti hiyo.

  Read more
 • Ndovu wahangaisha wakaazi Voi

  Na: Fatuma Rashid Voi, KENYA, Aprili 5 – Wakaazi wa eneo la Miasenyi huko Voi kaunti ya Taita Taveta wamelalamikia kuhangaishwa  na wanyama pori hususan ndovu wanaorandaranda katika maeneo ya makaazi  masaa ya jioni.

  Read more
 • April 3, 2017

  Hospitali ya gharama ya bilioni 4 kujengwa Vipingo

  Na: Marrieta Anzazi Kilifi, KENYA, Aprili 4 – Huenda wakaazi wa kaunti ya Kilifi wakapata afueni ya gharama ya matibabu, kufuatia mradi wa ujenzi wa hospitali katika eneo la Vipingo kwa kima cha shilingi bilioni 4.

  Read more
 • April 1, 2017

  Wachimbaji mchanga wapinga agizo la mahakama Sabaki

  Na: Charo Banda Magarini, KENYA, Aprili 1 – Shughuli za uchimbaji mchanga katika timbo ya eneo la Sabaki kaunti ndogo ya Magarini zimetatizwa baada ya wahudumu wa timbo hizo kuandamana pale walipopokea agizo la Mahakama kusitisha shughuli hiyo.

  Read more
 • March 31, 2017

  Hitilafu ya stima yasababisha uharibifu wa vitumeme Kinango

  Na: Lucy Makau Kinango, KENYA, Machi 31 – Wakaazi wa eneo la Kinango kaunti ya Kwale wanakadiria hasara ya maelfu ya pesa baada ya mtambo wa transfoma mjini humo kulipuka.

  Read more
 • March 30, 2017

  Mvundo wa taka watatiza  biashara Kinango.

  Na: Lucy Makau Kinango, KENYA, Machi 30 – Wafanyi biashara wadogo wadogo wa eneo la Kinango wanaitaka serikali ya kaunti  ya Kwale kutenga eneo mbadala la kutupa takataka.

  Read more
 • March 29, 2017

  Ununuzi wa mifugo waendelezwa Vigurungani

  Na: Michael Otieno Kwale, KENYA, Machi 29 – Siku chache baada ya wafugaji katika eneo la Vigurungani gatuzi dogo la Kinango Kaunti ya Kwale kuiomba Serikali kununua mifugo wao wanaoathirika na kiangazi, Wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi katika serikali ya Kaunti ya Kwale imesema kuwa mpango huo unaendelezwa.

  Read more