Radiokaya

Tuesday, 16 December, 2025    6:55 pm

Play Listen Live

Kenya yatuma kikosi chake cha tano cha maafisa wa polisi kwenda Haiti

Kenya imetuma kikosi chake cha tano cha maafisa wa polisi kwenda Haiti, ikiimarisha Kikosi cha Kimataifa cha Kukandamiza Magenge (GSF) huku ujumbe huo ukiongeza shughuli dhidi ya mitandao ya wahalifu wenye silaha katika baadhi ya maeneo yenye utata zaidi nchini. Kikosi hicho chenye maafisa 230 kilitua Jumatatu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa haiti, […]

Idara ya mahakama Kwale imetishia kufunga nyumba saba za watoto eneo la Lunga-lunga.

Idara ya mahakama katika kaunti ya Kwale imetishia kuzifunga nyumba saba za watoto zilizo katika eneo bunge la Lunga-lunga, baada ya kubainika kwamba taasisi hizo hazijasajiliwa, zina usimamizi duni na zinajihusisha na vitendo haramu ikiwemo ulanguzi wa watoto. Akizungumza katika eneo la Tsuini,Vanga huko Lunga-lunga jaji wa mahakama kuu ya ardhi na mazingira kaunti ya […]

Visa vya ulawiti vimeongezeka kaunti ya Kwale, mashirika ya kutetea haki za kibinadamu yameingilia kati.

Mashirika ya kijamii yakiongozwa na shirika la Samba Sports Youth Trust yameelezea hofu kufuatia ongezeko la visa vya ulawiti katika kaunti ya Kwale. Akizungumza na wanahabari katika eneo la Kinondo Mkurugenzi wa shirika hilo Mohammed Mwachausa amesema hali hiyo inachangia ukiukaji mkubwa wa haki za watoto. Kwa upande wake afisa wa tume ya kutetea haki za kibinadamu nchini KHRC Irene […]

Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani kuandaliwa Disemba Mosi.

Huku maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yakitarajiwa kuandaliwa kesho Disemba Mosi, katibu katika wizara ya afya Dkt Mary Muthoni amesema Kenya imepiga hatua katika mapambano dhidi ya HIV. Akizungumza na wanahabari Dkt Muthoni amesema katika miongo miwili iliyopita maambukizi ya HIV pamoja na vifo vinavyotokana na maambukizi ya virusi vya ukimwi yamepungua kwa kiwango […]

Usajili Wa Askari Polisi 10,000

Usajili Wa Askari Polisi 10,000 Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) inaendesha kampeni kubwa ya kuajiri watu nchini kote katika vituo 427, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu ulioondoa amri ya kusimamisha shughuli hiyo. Uajiri huo, unaolenga askari polisi 10,000, ulianza saa mbili  asubuhi  leo Jumatatu na utaendelea hadi saa kumi na moja  jioni, ukiashiria moja ya mazoezi makubwa zaidi ya kuajiri watu ya […]

Matokeo ya KJSEA na uteuzi kufanyika kabla ya krismasi, yasema wizara ya elimu

Matokeo ya KJSEA na uteuzi kufanyika kabla ya krismasi, yasema wizara ya elimu Katibu Mkuu wa Elimu ya Msingi Julius Bitok amethibitisha kwamba matokeo ya Tathmini ya Kwanza ya Elimu ya Sekondari ya Kenya (KJSEA) kwa wanafunzi wa Darasa la 9 yatatolewa ifikapo Desemba 11, huku Wizara ya Elimu ikikamilisha uteuzi wa Darasa la 10 […]

Ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu kuanza mwezi Januari mwakani

Ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu kuanza mwezi Januari mwakani Rais William Ruto ametangaza kwamba ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu utaanza rasmi mwezi Januari mwakani. Katika hotuba yake rais Ruto amesema mradi wa barabara hiyo itakayoelekea hadi Malaba, ni mradi wa maendeleo uliopiganiwa na aliyekua […]

Zamzam Mohamed Akanusha Madai ya Ufujaji wa Fedha za NGAAF Mombasa

Zamzam Mohamed Akanusha Madai ya Ufujaji wa Fedha za NGAAF Mombasa Mwakilishi wa kike kaunti ya Mombasa Bi Zam zam Mohamed, amekanusha madai kwamba ofisi yake imejihusisha na ufujaji wa fedha za hazina ya NGAAF. Katika mahojiano na mwanahabari wetu, Zam zam amesema makundi yaliokosa fedha za hazina hiyo katika awamu ya kwanza ya ugavi […]