May 22, 2017

kaunti ya Kilifi kutumia milioni 21 kununua Ng’ombe

Read more
 • kaunti ya Kilifi kutumia milioni 21 kununua Ng’ombe

  Na: Marieta Anzazi Kilifi, KENYA, May 22 – Afisa mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Ustawi wa uvuvi katika kaunti ya Kilifi Baha Nguma amesema kuwa shilingi milioni 21 zitatumika katika ununuzi wa ng’ombe 120 wa maziwa katika kaunti hiyo.

  Read more
 • May 18, 2017

  Idadi ndogo ya vijana yajitokeza kwa zoezi la usajili wa makurutu

  Na Lucy Makau Kinango, KENYA, May 18- Idadi ndogo ya vijana imejitokeza  katika zoezi  la kusajiliwa makurutu wa  wanajeshi katika shule ya upili ya wavulana ya Kinango eneo la Kinango.

  Read more
 • April 10, 2017

  Wetangula kuunga mkono mgombea yoyote wa NASA

  Na: Michael Otieno Kinara wa Chama cha Ford Kenya, Moses Wetangula amesema kuwa ataunga mkono yeyote miongoni mwao, atakaeteuliwa kugombea wadhfa wa Urais kwa tiketi ya Muungano wa NASA.

  Read more
 • Gunga awahimiza wazazi kusomesha watoto wao

  Na: Mercy Tumaini kaloleni, KENYA, Aprili 10 – Mbunge wa Kaloleni Gunga Mwinga Chea amewahimiza wakaazi katika eneo bunge lake, kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule ili kukabiliana na umaskini katika jamii.

  Read more
 • April 9, 2017

  Achoki awataka wazazi kuwajibika

  Na: Hussein Mdune Mombasa, KENYA, Aprili 9 – Kamishna wa kaunti ya Mombasa Evans Achoki amewataka wazazi wa kaunti hiyo kuwajibikia majukumu yao ya kuwalinda watoto wao sawia na kufuatilia mienendo yao hasa wakati wa msimu wa likizo.

  Read more
 • April 7, 2017

  Wanufaika na ujenzi wa kituo cha afya

  Na: Mercy Tumaini Rabai, KENYA, Aprili 7 – Wakaazi wa eneo la Mtandikeni katika eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi wamenufaika na mradi wa  kituo cha afya  unaoendelezwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la Koins for Kenya.

  Read more
 • April 6, 2017

  Aisha Jumwa asusia mkutano wa ODM Kilifi

    Na:  Marrieta Anzazi Kilifi, KENYA, Aprili 6 – Mwakilishi wa kike katika kaunti ya Kilifi Aisha Jumwa amesusia mkutano wa wagombea wa chama cha ODM uliofanyika mapema  leo katika makao ya Gavana wa kaunti hiyo mjini Kilifi Amason Kingi na badala yake kuandaa mkutano wake mjini Malindi.

  Read more
 • Walioghushi vyeti kutopewa nafasi NASA

  Na: Hussein Mdune Mombasa, KENYA, Aprili 6 – Seneta wa kaunti ya Mombasa Omar Hassan Sarai ameutaka mrengo wa upinzani nchini NASA kutowapa nafasi  ya kuwania nyadhifa za juu kwenye uchaguzi ujao, viongozi ambao wanakabiliwa na shtuma za kughushi vyeti vyao vya mitihani.

  Read more
 • April 4, 2017

  Mgombea wa kiti cha ubunge alaani viongozi wanaoeneza chuki

  Na: Esther Mwagandi Mgombea wa kiti cha ubunge eneo la Malindi Philip Charo amelaani vikali viongozi wanaoeneza matamshi ya chuki na uchochezi wanapokuwa katika mikutano ya kisiasa.

  Read more