March 30, 2017

KEMNAC yaitaka serikali kukoma kuwahangaisha viongozi

Na: Hussein Mdune Mombasa, KENYA, Machi 31- Baraza  Kuu  la  mashauri  ya  kiislam  nchini  KEMNAC  limeitaka  serikali  ya jubilee  kukoma  kuwangaisha  viongozi  wa  Pwani  katika  misingi  ya  kisiasa.

Read more
 • KEMNAC yaitaka serikali kukoma kuwahangaisha viongozi

  Na: Hussein Mdune Mombasa, KENYA, Machi 31- Baraza  Kuu  la  mashauri  ya  kiislam  nchini  KEMNAC  limeitaka  serikali  ya jubilee  kukoma  kuwangaisha  viongozi  wa  Pwani  katika  misingi  ya  kisiasa.

  Read more
 • March 10, 2017

  Zaidi ya vijana 600 kushirikishwa katika mradi wa NYS Mwatate

  Na: Fatuma Rashid Mwatate, KENYA, Machi 10- Zaidi ya vijana 600 kutoka eneo la Mwatate kaunti ya Taita Taveta watashirikishwa katika miradi mbali mbali ya huduma ya vijana kwa taifa NYS.

  Read more
 • March 6, 2017

  Mruttu awakosoa wanasiasa wanaoeneza chuki

  Na: Fatuma Rashid Taita Taveta, KENYA, Machi 6 – Naibu mwenyekiti wa baraza la magavana nchini aliye pia gavana wa kaunti ya Taita Taveta John Mruttu amewakosoa vikali viongozi ambao kwa sasa wanaeneza siasa ya chuki.

  Read more
 • March 4, 2017

  Mama wa miaka 70 alazimika kutembea kilomita 5 kuokata mahindi barabarani Ganze.

  Na: Marieta Anzazi Ganze, KENYA, Machi 4 – Siku moja tu baada ya serikali ya kaunti ya Kilifi kuwapelekea chakula cha msaada wakazi wa eneo la Mtsara wa Tsatsu huko Ganze, Mama wa umri wa miaka 70 amelazimika kutembea mwendo wa kilomita 5 kuokota mahindi yaliyokuwa yamemwagika wakati wa kutoa msaada huo eneo hilo.

  Read more
 • February 27, 2017

  Marekani ya ahidi kufanya kazi na mirengo yote ya kisiasa Kenya

  Na: Mwankombo Jumaa Kwale, KENYA, Februari 27 – Balozi wa Marekani humu nchini Robert Godec ametoa mwito kwa taifa la Kenya kuandaa uchaguzi wa haki na amani ili kulinda usalama wa wakenya na taifa kwa jumla.

  Read more
 • February 22, 2017

  Mruttu awataka polisi kukabiliana na wizi mashambani

  Na: Fatma Rashid Taita Taveta, KENYA, Februari 22 – Gavana wa kaunti ya Taita Taveta John Mruttu  ameelezea wasi wasi kuhusu kukithiri kwa wizi wa mazao ya wakulima mashambani katika eneo la Taveta.

  Read more
 • Polisi wasaka walevi waliomua mwezao Taita

  Na: Fatuma Rashid Taita Taveta, KENYA, Februari 22 – Polisi mjini Taveta katika kaunti ya Taita Taveta wanawasaka walevi  watatu  wanaodaiwa kumuua mwenzao kwa kumpiga na kifaa butu baada ya ugomvi kuzuka walipokuwa wakibugia pombe haramu katika eneo la Riata.

  Read more
 • February 15, 2017

  Viongozi wamrai Zani kumrithi Seneta Boy Juma Boy

  Na: Mariam Gao Kwale, KENYA, Februari 15 – Viongozi wa chama cha ODM na wale wa kidini katika kaunti ya Kwale wamemrai mgombea wa kiti cha ugavana na ambaye pia ni Naibu Mwenyekiti wa chama hicho Nicholas Zani kubadilisha azma yake na kumrithi aliyekuwa Seneta wa kaunti hiyo Boi Juma Boi.

  Read more
 • LSK na KNCHR kujumuishwa katika mazugumzo ya mgomo wa madaktari

  Na: Mwahoka Mtsumi Nairobi, KENYA, Februari 15 – Viongozi 7 wakuu wa Muungano wa Madaktari KMPDU waliokuwa wanatumikia kifungo cha mwezi mmoja gerezani baada mahakama ya viwanda kuwapata na hatia ya kukaidi kusitisha mgomo wa madaktari, sasa wameachilia huru.

  Read more