Juliani amefunga pingu za maisha na mpenzi wake mpya.

    Picha Kwa Hisani. Aliyekuwa mama kaunti wa Machakos Lilian Ng’ang’a amefunga pingu za maisha na mpenziwe mpya Juliani. Picha Kwa Hisani. Lilian Ng’ang’a na Juliani Wafanya Harusi, Marafiki Wachache Waalikwa Lilian Ng’ang’a na Juliani wanadaiwa kufanya harusi Februari 2. Picha Kwa Hisani. Wawili walidaiwa kufanya harusi Jumatano Februari 2 katika sherehe ambayo marafiki wa karibu pekee ndio walialikwa. Wawili hao walianza kuchumbiana 2021 baada ya Lilian kumtoka Gavana wa Machakos Alfred Mutua. Picha Kwa Hisani.