October 11, 2016

Watu 15 wanusurika kifo baada ya kula mhogo wa sumu Marafa

Na: Esther Mwagandi Marafa, KENYA, Oct 11 – Familia ya watu 15 katika kijiji cha Bore Singwaya huko Marafa kaunti ya Kilifi imeponea kifo baada ya kula mihogo inayodaiwa kuwa na sumu.

Read more
 • Watu 15 wanusurika kifo baada ya kula mhogo wa sumu Marafa

  Na: Esther Mwagandi Marafa, KENYA, Oct 11 – Familia ya watu 15 katika kijiji cha Bore Singwaya huko Marafa kaunti ya Kilifi imeponea kifo baada ya kula mihogo inayodaiwa kuwa na sumu.

  Read more
 • Haki Afrika yataka sheria ya kunyonga kurekebishwa

  Na: Gabriel Mwaganjoni Mombasa, KENYA, Oct 11 – Serikali imetakiwa kuiangazia upya sheria inayomhukumu mtu kunyongwa kwani kipengele hicho kina kinakiuka pakubwa haki za kibinadamu nchini

  Read more
 • October 10, 2016

  MRC kusalia kuwa vuguvugu

  Na: Gabriel Mwaganjoni Kaloleni, KENYA, Oct 10 – Baraza la ‘The Mombasa Republican Council’ halijakuwa Chama cha kisiasa wala halina nia yoyote ya kusajiliwa kama Chama cha kisiasa kama inavyoshinikiza Serikali.

  Read more
 • Mwanamke afariki baada ya kugongwa na gari Gongoni

  Na: Esther Mwagandi Magarini, KENYA, Oct 10 – Maafisa wa polisi huko Magarini kaunti ya Kilifi wanachunguza kisa ambapo mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 58 amefariki papo hapo baada ya kugongwa  na gari usiku wa kuamkia leo katika eneo la Gongoni.

  Read more
 • Elimu itasuluhisha uhalifu Kisauni, asema Mbogo

  Na: Gabriel Mwambeyu Mombasa, KENYA, Oct 10 – Mgombea wa ubunge wa Kisauni Ali Menza Mbogo amesema kwamba ni kupitia kwa elimu pekee ndipo swala la uhalifu na itikadi kali miongoni mwa Vijana litakabiliwa.

  Read more
 • Viongozi wahimizwa kuzingatia maslahi ya wananchi

  Na: Mercy Tumaini Kaloleni, KENYA, Oct 10 – Mwanaharakati wa kisiasa Ken Chonga amewasihi viongozi kuzingatia maslahi ya wakaazi badala ya kujishughulisha  masuala ya kujinufaisha binafsi.

  Read more
 • Walimu washauriwa kuwania nafasi za uongozi

  Na: Mercy Tumaini Kaloleni, KENYA, Oct 10 – Walimu  wa shule za msingi, upili na vyuo vikuu wamehimizwa kujitokeza na kuwania nyadhifa mbali mbali za kisiasa ile wawe katika nafasi nzuri ya kutetea maslahi ya walimu wengine ambayo kwa sasa hayajashughulikiwa vyema.

  Read more
 • Aisha awarai wanawake kuunga mkono wagombea wa kike

  Na: Esther Mwagandi Kilifi, KENYA, Oct 10 – Mwakilishi wa kike kaunti ya Kilifi, Aisha Jumwa ametoa  mwito kwa wanawake  kuunga mkono wanawake wenzao waliojitokeza kuwania nyadhifa  za kisiasa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

  Read more
 • October 9, 2016

  LICODEP yawaomba polisi kutowapiga risasi washukiwa wa ugaidi

  Na: Gabriel Mwabeyu Mombasa, KENYA, Oct 9 – Maafisa wa usalama wamezidi kushinikizwa kuwatia nguvuni washukiwa wa ugaidi ili watoe habari muhimu kuhusiana na mitandao ya kigaidi hapa Pwani na kwengineko nchini badala ya kuwauwa.

  Read more