May 22, 2017

kaunti ya Kilifi kutumia milioni 21 kununua Ng’ombe

Na: Marieta Anzazi Kilifi, KENYA, May 22 – Afisa mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Ustawi wa uvuvi katika kaunti ya Kilifi Baha Nguma amesema kuwa shilingi milioni 21 zitatumika katika ununuzi wa ng’ombe 120 wa maziwa katika kaunti hiyo.

Read more
 • kaunti ya Kilifi kutumia milioni 21 kununua Ng’ombe

  Na: Marieta Anzazi Kilifi, KENYA, May 22 – Afisa mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Ustawi wa uvuvi katika kaunti ya Kilifi Baha Nguma amesema kuwa shilingi milioni 21 zitatumika katika ununuzi wa ng’ombe 120 wa maziwa katika kaunti hiyo.

  Read more
 • May 18, 2017

  Idadi ndogo ya vijana yajitokeza kwa zoezi la usajili wa makurutu

  Na Lucy Makau Kinango, KENYA, May 18- Idadi ndogo ya vijana imejitokeza  katika zoezi  la kusajiliwa makurutu wa  wanajeshi katika shule ya upili ya wavulana ya Kinango eneo la Kinango.

  Read more
 • April 10, 2017

  Wetangula kuunga mkono mgombea yoyote wa NASA

  Na: Michael Otieno Kinara wa Chama cha Ford Kenya, Moses Wetangula amesema kuwa ataunga mkono yeyote miongoni mwao, atakaeteuliwa kugombea wadhfa wa Urais kwa tiketi ya Muungano wa NASA.

  Read more
 • Kalonzo amshtumu Mvurya kwa kutotatua tatizo la njaa Kinango

  Na: Michael Otieno Kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka amemshtumu Gavana wa kaunti ya Kwale Salim Mvurya, kwa kile alichokitaja kama kushindwa kutatua tatizo la njaa linalowakumba wakaazi wa Kinango katika kaunti ya Kwale.

  Read more
 • KINARA WA WIPER AHIDI KUONGEZA MGAO WA FEDHA NCHINI

  Na: Michael Otieno Kwale, KENYA, Aprili 10- Kinara wa chama cha Wiper, Stephen Kalonzo Musyoka ameahidi kuongeza mgao wa fedha wa serikali za kaunti kutoka asilimia 15 hadi asilimia 45  iwapo Muungano wa NASA utakapoingia uongozini.

  Read more
 • Balozi Mwakwere kuleta maendeleo mashinani

  Na: Micael Otieno Kwale, KENYA, Aprili 10 -Mgombea wa kiti cha Ugavaa kaunti ya Kwale Balozi Chirau Ali Mwakwere ameahidi kushirikiana na wakaazi wa Wadi ya Kubo Kusini ili kuimarisha maendeleo hadi mashinani.

  Read more
 • Gunga awahimiza wazazi kusomesha watoto wao

  Na: Mercy Tumaini kaloleni, KENYA, Aprili 10 – Mbunge wa Kaloleni Gunga Mwinga Chea amewahimiza wakaazi katika eneo bunge lake, kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule ili kukabiliana na umaskini katika jamii.

  Read more
 • April 9, 2017

  Achoki awataka wazazi kuwajibika

  Na: Hussein Mdune Mombasa, KENYA, Aprili 9 – Kamishna wa kaunti ya Mombasa Evans Achoki amewataka wazazi wa kaunti hiyo kuwajibikia majukumu yao ya kuwalinda watoto wao sawia na kufuatilia mienendo yao hasa wakati wa msimu wa likizo.

  Read more
 • Idara ya usalama yatakiwa kufuatilia kwa ukaribu semi za wanasiasa

  Na: Esther Mwagandi Malindi,KENYA, Aprili 9 – Idara ya usalama nchini imetakiwa kufuatilia kwa karibu mienendo ya wanasiasa wanaoeneza matamshi ya chuki na uchochozi na kuwakabilia kisheria.

  Read more