April 7, 2017

Serikali yahimizwa kutilia manani Karate

Na: Charo Banda Malindi,  KENYA, Aprili 7 – Mwenyekiti wa Kenya Karate Technical Commisions  Anderson Shillingi ameirai serikali kuhakikisha kuwa mchezo wa Karate unatiliwa maanani kama michezo mingine  ili kuwapa uwezo vijana kuweza kukuza talanta zao kupitia mchezo huo.

Read more
 • Serikali yahimizwa kutilia manani Karate

  Na: Charo Banda Malindi,  KENYA, Aprili 7 – Mwenyekiti wa Kenya Karate Technical Commisions  Anderson Shillingi ameirai serikali kuhakikisha kuwa mchezo wa Karate unatiliwa maanani kama michezo mingine  ili kuwapa uwezo vijana kuweza kukuza talanta zao kupitia mchezo huo.

  Read more
 • April 3, 2017

  Mwamambi yawika katika mashindano ya kutoa huduma za kwanza

  Na Dominick Mwambui Kwale, KENYA, Aprili 4 – Shule ya msingi ya Mwamambi waliwika katika awamu ya kwanza ya mashindano ya kutoa huduma za kwanza katika kitengo cha shule za msingi yaliyofanyika wikendi.

  Read more
 • March 21, 2017

  Rangers kucheza na Nairobi City Stars

  Na: Dominick Mwambui Timu ya Modern Coast Rangers itakuwa na kibarua kigumu wiki hii.

  Read more
 • March 20, 2017

  Modern Coast Rangers wailaza Mosca

  Na: Dominick Mwambui Timu ya Mosca iliandikisha matokeo mabaya kwa mara ya pili baada ya kulazwa na Modern Coast Rangers mabao 2 – 0, katika mechi ya National Super League iliyosakatwa jumamosi katika uwanja wa Mbaraki Sports Club.

  Read more
 • March 10, 2017

  Gor kuiadhibu Kariobangi Sharks

  Na: Salim Mwakazi Mabingwa mara 15 wa ligi kuu nchini Gor Mahia wameapa kuilaza limbukeni Kariobangi Sharks siku ya jumapili kwenye mechi ya ligi uwanjani Thika Municipal.

  Read more
 • March 6, 2017

  Bandari Youth inalenga kushinda taji

  Na: Dominick Mwambui Mombasa, KENYA, Machi 6 – Kocha wa timu ya Bandari Youth Swaleh Sunda analenga kuhakikisha kuwa kikosi hicho kinashinda ligi ya KPL kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 na FKF South Coast Branch League msimu huu.

  Read more
 • February 15, 2017

  Mwatate United waichapa Bandari

  Na: Dominick Mwambui Wundanyi, KENYA, Februari 15 – Kikosi cha Bandari kilizidi kuandikisha matokeao duni baada ya kulazwa na Mwatate United mabao 2-0.

  Read more
 • November 24, 2016

  Harambee stars yashuka kwenye viwango vya FIFA

  Na: Salim Mwakazi Licha ya kupata ushindi katika mechi zake mbili za kirafiki timu ya taifa ya Kenya imeshuka kwa nafasi nne katika orodha ya FIFA na sasa inaorodheshwa katika nafasi ya 89 kutoka 85.

  Read more
 • November 17, 2016

  Okumbi yuko tayari kumkaribisha Mwene

  Na: Salim Mwakazi Mkufunzi wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars, Stanley Okumbi amesema kwamba yuko tayari kumkaribisha kwa mikono miwili mkenya mzaliwa wa Australia Phillipp Mwene katika kikosi cha timu ya taifa ya Kenya  ikiwa anataka kuichezea  Stars.

  Read more