Uhondo Catch the latest entertainment & word around town on your favorite Radio Station Dogo Richie: Nataka kufunga ndoa na Azziad Dogo Richie amefichua kwamba ana hisia za mapenzi kwa mwanamitandao Azziad Nasenya na kueleza kwamba angependa kufunga ndoa naye. Dogo Richie kwenye bifu kali na Ringtone Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Pwani, Dogo Richie ameendelea kugonga vichwa vya habari za burudani baada ya kufichua kwamba anamchukia Ringtone kwa kile alichokitaja kama kuingilia masuala binafsi ya watu na kuyaanika mitandaoni. Davy Gze atangaza kuacha muziki. Post ya nyota wa muziki kutoka hapa Pwani Davy Gze imezua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Stivo alifungwa kwa wiki kwa madai ya uongo. Stivo Simple Boy amefunguka na kusema kwamba ameshawahi kuwekwa korokoroni kwa wiki baada ya rafiki wake wa kike kumshtaki kwa madai ya uongo kwamba amemnajisi. Mama Osinach: Alijificha kama muinjilisti na kumuua mwanangu. Mama wa aliyekuwa mwimbaji wa injili nchini Nigeria Osinachi Nwachukwu, Caroline Madu, ndiye shahidi mkuu katika kesi ya Nwachukwu, mume wa marehemu binti yake. Mume wa marehemu Osinachi akamatwa Picha Kwa Hisani Mume wa marehemu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria Osinachi Nwachukwu amekamatwa kufuatia kifo chake, vyombo vya habari vya nchini humo vimeripoti. Wizkid avunja ukimya baada ya Essence kikosa tuzo za Grammy. Picha Kwa Hisani. Baada ya tuzo kubwa Ulimwenguni za Grammy kutolewa usiku wa kuamkia Jumatatu, Aprili 4, 2022, jijini Los Angeles nchini Marekani, wasanii wawili tu kutoka Afrika walishinda tuzo hiyo ambao ni Angelique Kidjo kutoka Benin na Black Coffee kutoka Afrika Kusini. Mlole Classic anaendelea kupata afueni. Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki Mlole Classic anaendelea kupata afueni baada ya kupata ajali ya barabarani jijini Nairobi wikendi iliyopita. Jah Cure amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa jaribio la kuua bila kukusudia.. Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki wa reggae Siccature Alcock almaarufu Jah Cure atahudumu kifungo cha miaka sita gerezani kwa jaribio la kuua bila maksudi. #LowerFoodPrices: Kampeni ya kupinga bei ghali ya bidhaa muhimu. Picha Kwa Hisani. Sehemu ya Wakenya wenye hamaki wametumia mitandao ya kijamii kupinga bei ghali ya bidhaa muhimu haswa bidhaa za chakula. Mke wa Ali Kiba adai talaka. Picha Kwa Hisani. Mke wa mwanamuziki nyota wa Tanzania Ali kiba, Amina Khalef amewasilisha kesi mahakamani ya kutaka kutengana mume wake. Kunywa Pombe si dhambi, kasisi aeleza. Picha Kwa Hisani - Oluoma Chimenye John Kasisi wa kanisa la Katoliki nchini Nigeria, Oluoma Chimenye John, amezua mjadala mitandaoni, baada ya mkanda wa video alioweka kwenye ukurasa wake wa Instagram kusambaa akiwashauri waumini kutumia pombe. Juliani amefunga pingu za maisha na mpenzi wake mpya. Picha Kwa Hisani. Aliyekuwa mama kaunti wa Machakos Lilian Ng'ang'a amefunga pingu za maisha na mpenziwe mpya Juliani. Diana B amekuja na 'Mubaba' Picha Kwa Hisani - Diana B Msanii mpya kabisa wa mtindo wa kufoka kwenye tasnia ya muziki nchini Diana B ameachia ngoma mpya ambayo amemshirikisha Vinny Flava kwa jina 'Mubaba' kwenye mtandao wa Youtube. Drake amewa unfollow Rihanna na Asap IG Picha Kwa Hisani - Drake Rapa kutoka Marekani Drake ameacha kuwafollow Rihanna na A$ap kwa akaunti zao za Instagram baada yao kutangaza kuwa wanatarajia mtoto wao wa kwanza mwaka huu 2022. Nadia amtambulisha msanii wake wa kwanza Picha Kwa Hisani - Latinoh Latinoh ndiye msanii ambaye amemshirikisha Nadia Mukami katika wimbo wake wa kwanza kwa jina "Siwezi" ambao umechiliwa siku ya leo kwenye mtandao wa YouTube. Nicki Minaj amempongeza Rihanna kwa kupata ujauzito. Picha Kwa Hisani. Nicki Minaj amempongeza muimbaji nyota wa muziki wa RnB Rihanna baada ya taarifa kwamba yeye pamoja na mpenzi wake ASAP wanatarajia mtoto wao wa kwanza kusambaa kote ulimwenguni. Cheslie Kryst afariki dunia kwa kujirusha ghorofani. Picha Kwa Hisani - Cheslie Kryst Aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019, Cheslie Kryst, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30. Irene Uwoya: Marafiki wa kike ni wanafiki. Picha Kwa Hisani - Irene Uwoya. Msanii wa Bongo movie Irene Uwoya amewajibu mashabiki wake wanaopenda kumuuliza sababu zake za kuwa na marafiki wa kiume pekee. Otile Brown yuko single tena. Picha Kwa Hisani - Otile Brown na Nabayet. Mwanamuziki Otile Brown ametangaza rasmi kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu kutoka Ethiopia Nabayet, kupitia ukurasa wake wa Instagram. Mama Dangote amsifia Wema Sepetu Mama Dangote - Picha Kwa Hisani. Bi. Sanura Kasimu almaarufu Mama Dangote ambaye ni mama mzazi wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amemsifia aliyekuwa mpenzi wa zamani wa mwanawe, Wema Sepetu. Anne Kansiime anaomboleza kifo cha baba mzazi. Picha Kwa Hisani. Mchekeshaji na muigizaji maarufu kutoka Uganda Anne Kansiime anaomboleza kifo cha babake mzazi. Juliani adai kwamba maisha yake yamo hatarini. Picha kwa hisani. Mwanamziki Julius Owino almaarufu Juliani ameandikisha taarifa kwa polisi akidai kwamba maisha yake yamo hatarini. King Kaka: Nimepoteza kilo 33 Picha Kwa Hisani Mwanamuziki Kennedy Ombima maarufu kama King Kaka ameeleza kwamba amekuwa akiugua kwa muda usiopungua miezi mitatu. Madraxx: Kid Kora alinitukana. Picha Kwa Hisani. Baada ya kundi la muziki wa Genge ‘The Kansol’ kusambaratika, wanamuziki Mejja na Madraxx waliendelea kurekodi muziki kila mmoja kivyake, huku Kid Kora akikaa kimya na kupotea kwenye sanaa ya muziki. Z Anto aregea kwa vishindo Picha Kwa Hisani. Mkongwe wa sanaa ya muziki Z Anto ambaye aliwahi kutamba na ngoma ya Binti Kiziwi, amefichua sababu zake za kukaa kimya kwa muda mrefu na kueleza kuwa alikuwa anaandaa nyimbo za kumrejesha kwa kishindo. Anjella ametuzwa na mtandao wa YouTube Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki wa Bongofleva kutoka Konde Music Worldwide, Anjella amefanikiwa kupata tuzo ya kwanza kutoka kwa mtandao wa YouTube baada ya akanuti yake kufikisha wafutiliaji (subscribers) 100,000. Albamu kubwa zaidi humu nchini Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki nyota kutoka humu nchini, Kevin Bahati ametangaza kuachia wimbo wa kwanza kwenye albumu yake anayotarajia kuizindua siku ya Jumatatu, tarehe 14 Juni, 2021. Maajabu: Nyoka ameza mwiko wa kupikia. Story by: Janet Shume. Wakaazi wa eneo la malomani katika eneo bunge la Kinango kaunti ya Kwale wameshuhudia kisa cha kushangaza hapo jana baada ya kushuhudia nyoka ambaye hata licha ya kukatwa mapanga na wakaazi ilichukua muda kuuwawa. Jackie Chan afunguka kutompa mwanawe urithi wa mali yake Picha Kwa Hisani Mwigizaji nguli kutoka Bara la Asia, Jackie Chan amefunguka kuwa atatoa sehemu ya utajiri wake unaofikia Dola za Marekani 370 milioni (takriban Shilingi bilioni 39) kwa watu wenye uhitaji kuliko kumpa mwanawe wa kiume kwa jina Jaycee.
Dogo Richie: Nataka kufunga ndoa na Azziad Dogo Richie amefichua kwamba ana hisia za mapenzi kwa mwanamitandao Azziad Nasenya na kueleza kwamba angependa kufunga ndoa naye. Dogo Richie kwenye bifu kali na Ringtone Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Pwani, Dogo Richie ameendelea kugonga vichwa vya habari za burudani baada ya kufichua kwamba anamchukia Ringtone kwa kile alichokitaja kama kuingilia masuala binafsi ya watu na kuyaanika mitandaoni. Davy Gze atangaza kuacha muziki. Post ya nyota wa muziki kutoka hapa Pwani Davy Gze imezua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Stivo alifungwa kwa wiki kwa madai ya uongo. Stivo Simple Boy amefunguka na kusema kwamba ameshawahi kuwekwa korokoroni kwa wiki baada ya rafiki wake wa kike kumshtaki kwa madai ya uongo kwamba amemnajisi. Mama Osinach: Alijificha kama muinjilisti na kumuua mwanangu. Mama wa aliyekuwa mwimbaji wa injili nchini Nigeria Osinachi Nwachukwu, Caroline Madu, ndiye shahidi mkuu katika kesi ya Nwachukwu, mume wa marehemu binti yake. Mume wa marehemu Osinachi akamatwa Picha Kwa Hisani Mume wa marehemu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria Osinachi Nwachukwu amekamatwa kufuatia kifo chake, vyombo vya habari vya nchini humo vimeripoti. Wizkid avunja ukimya baada ya Essence kikosa tuzo za Grammy. Picha Kwa Hisani. Baada ya tuzo kubwa Ulimwenguni za Grammy kutolewa usiku wa kuamkia Jumatatu, Aprili 4, 2022, jijini Los Angeles nchini Marekani, wasanii wawili tu kutoka Afrika walishinda tuzo hiyo ambao ni Angelique Kidjo kutoka Benin na Black Coffee kutoka Afrika Kusini. Mlole Classic anaendelea kupata afueni. Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki Mlole Classic anaendelea kupata afueni baada ya kupata ajali ya barabarani jijini Nairobi wikendi iliyopita. Jah Cure amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa jaribio la kuua bila kukusudia.. Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki wa reggae Siccature Alcock almaarufu Jah Cure atahudumu kifungo cha miaka sita gerezani kwa jaribio la kuua bila maksudi. #LowerFoodPrices: Kampeni ya kupinga bei ghali ya bidhaa muhimu. Picha Kwa Hisani. Sehemu ya Wakenya wenye hamaki wametumia mitandao ya kijamii kupinga bei ghali ya bidhaa muhimu haswa bidhaa za chakula. Mke wa Ali Kiba adai talaka. Picha Kwa Hisani. Mke wa mwanamuziki nyota wa Tanzania Ali kiba, Amina Khalef amewasilisha kesi mahakamani ya kutaka kutengana mume wake. Kunywa Pombe si dhambi, kasisi aeleza. Picha Kwa Hisani - Oluoma Chimenye John Kasisi wa kanisa la Katoliki nchini Nigeria, Oluoma Chimenye John, amezua mjadala mitandaoni, baada ya mkanda wa video alioweka kwenye ukurasa wake wa Instagram kusambaa akiwashauri waumini kutumia pombe. Juliani amefunga pingu za maisha na mpenzi wake mpya. Picha Kwa Hisani. Aliyekuwa mama kaunti wa Machakos Lilian Ng'ang'a amefunga pingu za maisha na mpenziwe mpya Juliani. Diana B amekuja na 'Mubaba' Picha Kwa Hisani - Diana B Msanii mpya kabisa wa mtindo wa kufoka kwenye tasnia ya muziki nchini Diana B ameachia ngoma mpya ambayo amemshirikisha Vinny Flava kwa jina 'Mubaba' kwenye mtandao wa Youtube. Drake amewa unfollow Rihanna na Asap IG Picha Kwa Hisani - Drake Rapa kutoka Marekani Drake ameacha kuwafollow Rihanna na A$ap kwa akaunti zao za Instagram baada yao kutangaza kuwa wanatarajia mtoto wao wa kwanza mwaka huu 2022. Nadia amtambulisha msanii wake wa kwanza Picha Kwa Hisani - Latinoh Latinoh ndiye msanii ambaye amemshirikisha Nadia Mukami katika wimbo wake wa kwanza kwa jina "Siwezi" ambao umechiliwa siku ya leo kwenye mtandao wa YouTube. Nicki Minaj amempongeza Rihanna kwa kupata ujauzito. Picha Kwa Hisani. Nicki Minaj amempongeza muimbaji nyota wa muziki wa RnB Rihanna baada ya taarifa kwamba yeye pamoja na mpenzi wake ASAP wanatarajia mtoto wao wa kwanza kusambaa kote ulimwenguni. Cheslie Kryst afariki dunia kwa kujirusha ghorofani. Picha Kwa Hisani - Cheslie Kryst Aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019, Cheslie Kryst, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30. Irene Uwoya: Marafiki wa kike ni wanafiki. Picha Kwa Hisani - Irene Uwoya. Msanii wa Bongo movie Irene Uwoya amewajibu mashabiki wake wanaopenda kumuuliza sababu zake za kuwa na marafiki wa kiume pekee. Otile Brown yuko single tena. Picha Kwa Hisani - Otile Brown na Nabayet. Mwanamuziki Otile Brown ametangaza rasmi kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu kutoka Ethiopia Nabayet, kupitia ukurasa wake wa Instagram. Mama Dangote amsifia Wema Sepetu Mama Dangote - Picha Kwa Hisani. Bi. Sanura Kasimu almaarufu Mama Dangote ambaye ni mama mzazi wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amemsifia aliyekuwa mpenzi wa zamani wa mwanawe, Wema Sepetu. Anne Kansiime anaomboleza kifo cha baba mzazi. Picha Kwa Hisani. Mchekeshaji na muigizaji maarufu kutoka Uganda Anne Kansiime anaomboleza kifo cha babake mzazi. Juliani adai kwamba maisha yake yamo hatarini. Picha kwa hisani. Mwanamziki Julius Owino almaarufu Juliani ameandikisha taarifa kwa polisi akidai kwamba maisha yake yamo hatarini. King Kaka: Nimepoteza kilo 33 Picha Kwa Hisani Mwanamuziki Kennedy Ombima maarufu kama King Kaka ameeleza kwamba amekuwa akiugua kwa muda usiopungua miezi mitatu. Madraxx: Kid Kora alinitukana. Picha Kwa Hisani. Baada ya kundi la muziki wa Genge ‘The Kansol’ kusambaratika, wanamuziki Mejja na Madraxx waliendelea kurekodi muziki kila mmoja kivyake, huku Kid Kora akikaa kimya na kupotea kwenye sanaa ya muziki. Z Anto aregea kwa vishindo Picha Kwa Hisani. Mkongwe wa sanaa ya muziki Z Anto ambaye aliwahi kutamba na ngoma ya Binti Kiziwi, amefichua sababu zake za kukaa kimya kwa muda mrefu na kueleza kuwa alikuwa anaandaa nyimbo za kumrejesha kwa kishindo. Anjella ametuzwa na mtandao wa YouTube Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki wa Bongofleva kutoka Konde Music Worldwide, Anjella amefanikiwa kupata tuzo ya kwanza kutoka kwa mtandao wa YouTube baada ya akanuti yake kufikisha wafutiliaji (subscribers) 100,000. Albamu kubwa zaidi humu nchini Picha Kwa Hisani. Mwanamuziki nyota kutoka humu nchini, Kevin Bahati ametangaza kuachia wimbo wa kwanza kwenye albumu yake anayotarajia kuizindua siku ya Jumatatu, tarehe 14 Juni, 2021. Maajabu: Nyoka ameza mwiko wa kupikia. Story by: Janet Shume. Wakaazi wa eneo la malomani katika eneo bunge la Kinango kaunti ya Kwale wameshuhudia kisa cha kushangaza hapo jana baada ya kushuhudia nyoka ambaye hata licha ya kukatwa mapanga na wakaazi ilichukua muda kuuwawa. Jackie Chan afunguka kutompa mwanawe urithi wa mali yake Picha Kwa Hisani Mwigizaji nguli kutoka Bara la Asia, Jackie Chan amefunguka kuwa atatoa sehemu ya utajiri wake unaofikia Dola za Marekani 370 milioni (takriban Shilingi bilioni 39) kwa watu wenye uhitaji kuliko kumpa mwanawe wa kiume kwa jina Jaycee.